Kwanin Bwana Shah Rukh Khan aliyezaliwa mwaka 1965 tarehe 2 November ndiye mwigizaji nyota zaidi nchini India na pengine duniani kote ingawa kuna debate kidogo kuhusu hilo.India kuna waigizaji nyota wengi kama vile Hritik Roshan' Akshay kumar ' Salman Khan na babu yetu wa siku nyingi Amitabh Bachchan Lakini SRK bado ndio King Kwanini.Zifuatazo ni baadhi ya sababu za kwanini SRK ndiye King Wa Bollywood;
1.Fan base-Shah Rukh Khan ana mashabiki wengi sana duniani kote kuliko waigizaji wenzake wote wa Bollywood.Utafiti uliofanywa na jarida la TIMES unaonyesha kuwa SRK ana mashabiki zaidi ya Bilion 3.5 duniani kote.
2.Personality-SRK licha ya kuwa ni mwigizaji mkubwa lakini bado yupo social sana na anawapenda sana mashabiki wake.Pia SRK ni Family guy muda mwingi hupenda kukaa na familia yake.SRK ana moyo sana wa kusaidia watu ndio maana UNICEF limemchagua Kuwa balozi wao nchini India na duniani kote.
3.Influence-SRK ni mmoja kati ya watu wenye ushawishi duniani ameshawahi kuwekwa kwenye top 50 ya watu wenye ushawishi duniani kupitia majarida ya FORBES na TIMES.
4.Key to success-kupitia SRK waigizaji wengi India wamefanikiwa.SRK alisaidia kuwatambulisha katika game waigizaji wengi kama vile Deepika padukone na shilpa shetty.
5.More HITS and less FLOPS-SRK ana filamu nyingi alizofanya vizuri na chache alizozingua.Filamu kama RA-ONE na MY NAME IS KHAN ziliuza sana ndani na nje ya Bollywood.
6.Fortune Holder-SRK yupo kwenye top 10 ya waigizaji matajiri duniani katika list hiyo wahindi wapo wawili tu SRK na Salman Khan lakini SRK yupo nafasi za juu kuliko Salman hivyo anazidi kujiongezea pointi kama king wa Bollywood.
7.Most filmfare award winner in Bollywood-SRK anaongoza kuwa na tunzo nyingi Bollywood.SRK anaongoza kuchukua tunzo kubwa india za FILMFARE AWARDS akiwa amebeba tunzo 14 kati ya 30 alizochaguliwa kugombea.
8.Suits both as a HERO and VILLAIN-SRK anaweza cheza role yoyote ile anaweza cheza kama chizi (MY NAME IS KHAN) bubu (KOYLA) superhero (RA-ONE) Adui (DON) role yoyote akipewa SRK anaitendea kazi sio kama waigizaji wengine hawawezi kama akina Aamir khan na Hritik roshan wanaweza sana ila SRK anajua zaidi.
SABABU 8 KWANIN SHAH RUKH KHAN NI KING WA BOLLYWOOOD.
Reviewed by Unknown
on
05:08
Rating: 5