ANGALIA TRAILER LA SERIES MPYA YA BLINDSPOT
Blindspot ni upcoming American drama ikichezwa na Jaimie Alexander amabaye alicheza kama y katika series ya kyle XY pamoja na Sullivan Stapleton. series hiyo ambayo inahusu dada mwenye tatoo nyinyi sana mwilini lakini hana kumbukumnu yeyote ambapo baadae FBI wanagundua kila tattoo ina husiana na crime fulani ambayo wanabidi waisolve..
series hii itaonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye TV tarehe 21/September 2015

Ebu checki trailer upate uhondo
No comments: