Breaking News
recent

CELEBRITIES KABLA NA BAADA YA PLASTIC SURGERY.

Kuna sababu kadha wa kadha mpaka watu wanaamua kufanya 'plastic surgery',wapo ambao wanajiona wana kasoro wapo pia wanaona kuna kiungo hakipo sawa mwilini lakini wapo pia ambao wanafanya kama urembo tu,Mastar wengi wa Marekani hasa wa kike wameshafanya 'plastic surgery',inawea ikawa ni ya sura, makalio,matiti,pua [kwa mfano marehemu Michael Jackson],wengine hufanya ya mdomo,yote ni kujiweka sawa ili wawe katika chati ya urembo au utanashati.Picha hapo chini tutaona baadhi ya Celebrities walivyokuwa kabla na baada ya plastic surgery.
LIL KIM

TYRA BANKS
VICTORIA BECKHAM
MICKEY ROURKE
PAMELA ANDERSON
KIM KARDASHIAN
CIARA
CHRISTINA AGUIRELA
MICHAEL JACKSON
JADA PINKETT SMITH
HALLE BERRY
LINDSAY LOHAN
MEG RYAN
NICK MINAJ

 Me ni mmoja kati ya fans wakubwaa wa Nick Minaj ila laima nikubali ukweli kuwa Nick is made off plastic,anaonekana ana umbo la kuvutia sana lakini kumbe ni plastic surgery anafanya mara kibao,hafanyi ya makalio tu bali hufanya na ya lips pia.
NICK MINAJ KABLA NA BAADA YA PLASTIC SURGERY


SELENA GOMES
Sometimes plastic surgery ingawa kuna baadhi ya watu imewakubali kuna wengine imebuma kabisa,matokeo yake wanaonekana vituko katika jamii,hebu wacheki hawa ilivyobuma kabisaa..
JOSELYN WILDENSTEIN
DONATELLA VERSACE
JANICE

MICHAEL JACKSON
Ningependa kuwashauri dada wote na wasichana kwa ujumla,WAJIKUBALI No one was born perfect,hamna haja ya kuhangaika kujibadili maumbo au hata rangi jikubali jinsi Mungu alivyokuumba JUST BE AS YOU ARE....Tchaoo stay tuned for our upcoming posts..............................................................................................


No comments:

Powered by Blogger.