Breaking News
recent

STAN LEE:KING OF CAMEOS

Stan Lee ni mmoja kati ya watu wenye mchango mkubwa katika ulimwengu wa movie.Stan Lee ni mwandishi wa Comic Books kasaidia kutunga stories nyingi za masupeheroes,kama vile SPIDER MAN,X-MEN na nyingine nyingi za kampuni ya MARVEL,na anasifika kwa kufanya Cameos katika movie nyingi za MARVEL.Cameo ni pale mtu maarufu anapoonekana katika movie flani ingawa ni kwa muda mfupi tu na kama hukuwa makini unaweza usimuone,ndivyo anavyofanya Stan Lee anaonekana kwenye movie nyingi lakini huwezi ukamgundua usipokuwa makini,hapo chini ntakuonyesha baadhi ya movie alizoonekana,mpaka sasa kaonekana kwenye movie 73,movie ya kwanza kuonekana ilikuwa mwaka 1989 katika movie ya 'THE TRIAL OF THE INCREDIBLE HULK baada ya hiyo Stan kaonekana katika movie nyingi sana za MARVEL pia za SONY.
STAN LEE KATIKA MOVIE YA CAPTAIN AMERICA-THE FIRST AVENGER

STAN LEE KATIKA MOVIE YA SPIDER MAN 3
STAN LEE KATIKA MOVIE YA THE AVENGERS
STAN LEE KATIKA MOVIE YA SPIDER MAN
STAN LEE KATIKA MOVIE YA THOR
STAN LEE KATIKA ANIMATION YA BIG SIX HEROES
STAN LEE KATIKA MOVIE YA DARE DEVIL
STAN LEE KATIKA MOVIE YA GUARDIANS OF THE GALAXY
STAN LEE KATIKA SERIES YA MARVEL;AGENTS OF SHIELD
STAN LEE KATIKA MOVIE YA IRON MAN
STAN LEE KATIKA MOVIE YA THE AMAZING SPIDER MAN 2
STAN LEE KATIKA MOVIE YA THE AMAZING SPIDER MAN

STAN LEE HAKUONEKANA KATIKA SERIES YA DARE DEVIL LAKINI PICHA YAKE ILIONEKANA
STAN LEE KATIKA MOVIE YA THOR 2
Kwa ujumla Stan Lee kafanya Cameos nyingi sana ukitoa hizo za juu pia yupo katika DEADPOOL,ANT MAN Na movie nyingine nyingi akionekana tu kwa sekunde kadhaa tu,kweli Stan lee ni king of cameos......stay tuned for our upcoming posts..tchaoo..

No comments:

Powered by Blogger.