ED SHEERAN;BINGWA WA KUWANDIKIA WASANII NYIMBO.
Ed Sheeran ni mmoja kati ya wanamusic wapole lakini ana kipaji cha hali ya juu sana,Ed anajulikana kupitia nyimbo nyingi kama thinking out loud,photography na the A team,Ed kashachukua awards kibao kama vile AMERICAN MUSIC AWARDS,GRAMY AWARDS pamoja na BRITISH MUSIC AWARDS,licha ya kuwa mwimbaji bora lakini Ed pia ana kipaji cha kuandika nyimbo,Ed kashawaandikia nyimbo wasanii wengi wakubwa kama hillary duff,Taylor Swift,Christina Perry,Lupe Fiaco,Rixton na One Direction.
Ed kahusika katika uandishi wa nyimbo kadhaa,kama utavyojionea hapo chini katika orodha hii fupi;
1.Dark Times-The Weekend ft Ed Sheeran,The Weekend ni mmoja kati ya wasanii wanaojua sana hadi wanaboa..Ed Sheeran alihusika katika uandishi wa nyimbo hii ya DARK TIMES,licha ya kuhusika katika uandishi Ed Pia alihusika katika uimbaji wa nyimbo hii tamu iliyokutanisha mafundi.
Ed Sheeran aliuandika vilivyo wimbo huu hata ukiusikia utagundua una ladha na vionjo tofauti,upo tofauti kidogo na traki nyingine kabisa kama ni shabiki wa The weekend utagundua hilo.
2.Be My Forever-Christina Perry ft Ed Sheeran,Ed Sheeran pia alihusika katika uandishi wa traki ya mwanadada Christina Perry,ni bonge la nyimbo kutoka kwa Ed na Christina yani imetendewa haki vilivyo.
Christina Perri pia anajulikana kwa kibao chake matata cha A thousand years,kama huijui hii traki please itafute usisahau pia na hii ambayo Ed kaiandika ya be my forever.
3.Hotel Ceiling-Rixton,Ed pia alihusika katika uandishi wa traki ya HOTEL CEILING,traki hii imeimbwa na band inayochipukia kwa kasi RIXTON,nyimbo hii pia ni kali sana vijana hawa wanne wamefanya yao.
Band ya Rixton licha ya kutamba na kibao cha HOTEL CEILING,hapo nyuma waliwahi tamba na ngoma yao ya ME AND MY BROKEN HEART iliyowatambulisha vyema kwenye industry ya Music.
4.Everything Has Changed-Taylor Swift ft Ed Sheeran,Ed Sheeran na Taylor Swift ni marafiki wakubwa sana na kama ulicheki gramy awards uliona jinsi Taylor alivyofurahi pale Ed Sheeran aliposhinda moja ya vipengele kupitia track yake ya THINKING OUT LOUD.
Ed na Taylor walihusika katika uandishi na uimbaji wa traki hii ya EVERYTHING HAS CHANGED,moja kati ya traki nayoikubali sana kutoka kwa mwanadada Taylor Swift.
5.Moments,Little things,18 na Over again,Ed Sheeran pia kawaandikia kundi maarufu la ONE DIRECTION traki kadhaa na kufanya kundi hilo liwe kali katika ushindani wa makundi ya music duniani.
Ed Sheeran kaandika traki nne kuntu kwa aajili ya One Direction,kama vile MOMENTS,LITTLE THINGS,18 na OVER AGAIN.
6.I Was Made For Loving You-Tori kelly,Ed Sheeran pia aliandika kibao cha mwanadada anayechipukia kwa kasi Tori Kelly,I WAS MADE FOR LOVING YOU ni nyimbo kali sana thanks to Ed.
Tori pia alitamba na traki kali kama vile it should have been us na Unbreakable Smile.
7.Love Yourself-Justin Bieber,kibao cha Justin Bieber kilichovuma katika chati ya billboard,katika traki ya LOVE YOURSELF Ed Sheeran kama kawaida alihusika katika uandishi wa wimbo huo.
Traki hii iliisaidia sana kuitambulisha albamu yake ya PURPOSE Kwa mashabiki wake na ilipokelewa kwa shangwe na mashabiki wa JB hatimaye ilinunuliwa nakala mamilioni kwa mamilioni.
tchaooo....stay tuned for our upcoming posts.....

No comments: