ANGALIA TOP 50 YA NYIMBO BILLBOARD.
Mwaka 2016 katika charts ya Billboard kuna ngoma kibao,katika video hapo chini nimekuletea ngoma 50 kali kutoka kwa wasanii mbali mbali kila nyimbo iliyopo Billboard ina maana kuwa inafanya fresh katika vituo vya Televisheni na Redio anyway nisikuchoshe sana angalia hapo chini list hiyo ya nyimbo 50 so kuntu.
No comments: