Breaking News
recent

COMMENTS MBAYA ZA MASHABIKI KWA CELEBRITIES MITANDAONI.

Hivi ushawahi kucheki page za mastar kattika mitandao ya kijamii, star akipost chochote kile lazima kutakuwa na mashabiki wa kukisifia na wengine wakamponda, kwa mfano hapa kwetu Tanzania nahisi Wema Sepetu ndio anaongoza kwa kupata matusi kutoka kwa mashabiki, hivyo hivyo nchini Marekani mtu maarufu kama KIM KARDASHIAN lazima akipost kitu akosolowe na wadau mbali mbali, wapo ambao watamuambia ajieshimu aache kuvaa nguo za ajabu, wapo watakaocomment kuwa North halelewi vizuri pia wengine watamwambia aache kufanya plastic surgery na mengine mengiii. Comments za mashaniki zinaweza zikawa na ukweli au zinaweza zikawa ni mawazo na mitazamo ya mashabiki husika. Anyway cha muhimu ni kujua kuwa celebrities kama Kanye, Kim Kardashian, Justin Bieber,Diamond, Wema, Selena Gomez na wengineo ni binadamu kama wewe na mimi, wao pia wanaumizwa na wana hisia kama sisi, hivyo wanaweza kuudhika na kile ulichocoment kwa namna moja au nyingine. Leo katika makala hii nakuletea naadhi ya comments mbaya za mashabiki katika mtandao wa twitter.

Comments hizi zimechukuliwa katika kipindi cha JIMMY KIMMEL LIVE MEAN COMMENTS.Katika kipindi hichi celebrities anafungua accont yake ya Twitter na kuzisoma comments mbaya kutoka kwa mashabiki wake mtandaoni. Baadhi ya hizo comments ni kama zifuatazo;
Comment ya shabiki kwa mwigizaji maarufu George Clooney.
Comment ya shabiki kwa Elizabeth Banks.
Comment ya shabiki kwa Selena Gomez.
Comment ya shabiki kwa mwigizaji Adam Sandler.
Comment ya shabiki kwa Sean Pell.
Comment ya shabiki kwa Drake.
Comment ya shabiki ka Dwayne Johnson au The Rock.
Comment ya shabiki kwa Justin Bieber.
Comment ya shabiki kwa Ariana Grande.
Comment ya shabiki kwa Wiz Khalifa,
Comment ya shabiki kwa halle Berry.
Comment ya shabiki kwa Daniel Radcliffe au HARRY PORTER,
Comment ya shabiki kwa Elisabeth Moss.
Comment ya shabiki kwa Britney spears.
Comment ya shabiki kwa Julia Roberts.
Comment ya shabiki kwa Kobe Braynt.
Comment ya shabiki kwa Iggy Azalea.
Comment ya shabiki kwa Jack Black.

Comment ya mwananchi wa Marekani kwa Raisi Obama [bongo ingekuwa kesi]
Hizo ni baadhi tu ya comments mbaya kutoka kwa mashabiki ni nyingi sanan sana ukiingia katika mitandao ya kijamii kama Instagram, facebook na mingeneyo utaona. Ushauri wangu ni kwa mashabiki hata kama humpendi celebrity flani basi usicomment matusi katika  page yake au kama unatka kutoa ushauri utoe kwa utaratibu sio kuandika matusi ya nguoni si bora usicomment kabisa....stay tuned for our upcoming posts...adios amigos........

No comments:

Powered by Blogger.