Breaking News
recent

CELEBRITIES BILA MAKE UP.

Katika urembo kwa wadada make up ni muhimu sana,kwa sababu inawafanya wawe warembo na wa kuvutia.Kuna wengine ni warembo natural wengine mpaka make up ndio wanaonekana wa kuvutia.Anyway hapo chini nakuletea picha kadhaa uone jinsi celebrities wanavyokuwa bila make up wengine wanakuwa warembo vile vile lakini wengine majanga....lets check it out
KERRY WASHNGTON star wa series ya SCANDAL bila make up.
TAYLOR SWIFT bila make up.
BEYONCE bila make up.
KRISTEN STEWART Star wa movie ya TWILIGHT bila make up.
MILEY CYRUS bila make up.
TYRA BANKS bila make up.
KAREENA KAPOOR bila make up.
MADONNA bila make up.  by the way ana miaka 57.
ANGELINA JOLIE bila make up.
RIHANNA bila make up.
JENNIFER LOPEZ bila make up.
OLIVIA WILDE bila make up.
IGGY AZALEA bila make up. 
KATY PERRY bila make up.
CAMEROON DIAZ bila make up.
JENNIFER LAWRENCE bila make up.
KIM KARDASHIAN bila make up.
PRIYANKA CHOPRA bila make up.
GOLDIE HAWN bila make up.
MEGHAN GOOD akiwa na make up.
MEGHAN GOOD bila make up......she still rocks.
    stay tuned for our upcoming posts....tchaooo....................................................................................


No comments:

Powered by Blogger.