ANGALIA ''BEHIND THE SCENES'' YA MOVIE YA CAPTAIN AMERICA CIVIL WAR.
Ukiongelea movies kali kwa mwaka huu Captain America 3 utaitaja tu,as expected tayari inafanya poa BOX OFFICE ikiwa tayari ina kama US dollars Milioni 800 na bado inaendelea kufanya poa.Katika page yetu ya INSTAGRAM,niliwahi andika kuwa mwaka huu hii movie itafanya poa sana na MARVEL hawajaniangusha CAPTAIN AMERICA 3 IS ONE HELL OF A MOVIE...hebu check video hapo chini ujionee behind the scenes ya moviee hii.
Check it out and stay Tuned for our upcoming posts...tchaooo
No comments: