ANGALIA PICHA ZA MOVIES KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS.
Hivi ushawahi kuwaza kuwa Movies zingekuwa vipi bila kufanyiwa editing pamoja na special effects,dah yani zingekuwa zinaboa sana na sidhani kama kungekuwa na movies za science fiction pamoja na fantasy,tungebaki na movies zenye story za kawaida ambazo hazihusishi visa ambavyo kwa namna moja au nyingine vingehitaji special effects kukamilika.Hapo chini ntakuletea baadhi ya picha za movies mbali mbali zinavyoonekana kabla na baada ya kufanyiwa visual au special effects.
MOVIE YA COCKTAIL KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA LIFE OF PI KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA GREEN LANTERN KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA ALICE IN THE WONDERLAND KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA THE AVENGERS KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA TWILIGHT SAGA KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA LIFE OF PI KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA ONCE UPON A TIME IN MUMBAI KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA RA ONE KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA ALICE IN THE WONDERLAND KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA HUNGER GAMES KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA KICK KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA OZ THE GREAT AND POWERFUL KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA THE SECRET IN THE EYES KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA THE AVENGERS KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA THE DARK KNIGHT KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA THE RISE OF PLANET APES KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA THE WOLF OF WALL STREET KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA IRON MAN 2 KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
SERIES YA GREY'S ANATOMY KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA THE HOBBIT KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
SERIES YA GAME OF THRONES KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
MOVIE YA LORD OF THE RINGS KABLA NA BAADA YA SPECIAL EFFECTS. |
No comments: