Jumatano iliyopita first lady wa Marekani Michelle Obama,alim-suprise host wa kipindi cha the late late show James Gorden baada ya kuingia katika gari lake ambalo James huwa analitumia kufanya mahojiano na celebrities mbali mbali.James alikwenda katika ikulu ya marekani maarufu kama white house kwa nia ya kufanya tour fupi lakini alipokuwa getini Michelle alimfata na kuingia katika gari lake, Michelle alikuwa casual sana na aliwafurahisha wengi pale allipokuwa aki-dance nyimbo mbali mbali ukiwemo single ladies.
James Corden akishangaa kumuona Michelle alipoingia katika gari lake.
James Corden pia alifanya mahojiano na rapper Missy Eliot ambaye nae alijiunga na James pamoja na Michelle katika safari hiyo fupi..kuangalia full interview hapo click hapo chini.
ENJOY...stay tuned for our upcoming posts....
MCHEKI MICHELLE OBAMA KATIKA KIPINDI CHA ''THE LATE LATE SHOW''.
Reviewed by Unknown
on
16:36
Rating: 5
No comments: