Unaapoongelea movies duniani, ni vigumu na haiwezekani ukaacha
industries mbili maarufu katika utengenezaji wa movie kali na zenye ubora wa hali ya juu..
industries hizo ni HOLLYWOOD na BOLLYWOOD.HOLLYWOOD ni
industry ya movie za kimarekani na BOLLYWOOD ni
industry ya movie za kihindi.Hollywood na Bollywood wana mtindo wa kuigana katika stori zao au
posters au front covers za movies,baadhi ya movikutoka Bollywood stori huwa inachukuliwa toka Hollywood na kubadilishwa badilishwa ili ionekane tofauti na movie
original.Baadhi ya movie za Bollywood zilizochukua
ideas kutoka Hollywood ni-[GHAJINI imechukua
idea ya movie ya MEMENTO], [JANDUSHMAN imechukua
idea ya movie ya TERMINATOR],[PLAYERS imechukua
idea ya movie ya ITALIAN JOB] na [KOI MIL GAYA imechukua
idea ya movie ya E.T].Hizo ni baadhi tuya movies kuna nyingine nyingi na huwa zinafanya vizuri kuliko hata
original, hii ni kwa sababu wenzetu wanaiga kwa akili tofauti na wabongo wanao
copy and paste kila kitu.Zifuatazo ni baadhi ya
covers ambazo kwa namna moja au nyingine Hollywood na Bollywood wameibiana.
|
Cover la movie ya CHAKDE INDIA na movie ya THE MIGHTY DUCKS. |
|
|
Cover la movie ya SEX AND THE CITY na movie ya DANGEROUS ISHHQ. |
|
Cover la movie ya O-TERI na movie ya THE OTHER GUYS. |
|
Cover la movie ya GHAJINI na movie ya THE INCREDIBLE HULK. |
|
Cover la movie ya KRISH 3 na THE AVENGERS. |
|
Cover la movie ya SAHARA na movie ya NAKSHA. |
|
Cover la movie ya LICENSE TO WED na movie ya ATITHI. |
|
Cover la movies za MURDER 3,JENNIFER'S BODY na TRUE BLOOD. |
|
Cover la movie ya TIL DEATH na movie ya UGLY AUR PAGLI. |
|
Cover la movie ya KITES na movie ya THE NOTEBOOK. |
|
Cover la movie ya JOHNNY ENGLISH na movie ya AGENT VINOD. |
|
Cover la movie ya KING ARTHUR na movie ya HISSS. |
|
Cover la AN EDUCATION na ANJAANA ANJAANI. |
|
Cover la movie ya THE REPLACEMENT KILLER na movie ya ROWDY RATHORE. |
|
Cover la movie ya LORDS OF DOGTOWNS na ZINDAGI NA MILEGI DOBARA. |
|
Cover la movie ya MEMENTO na movie ya EWOT. |
|
Cover la movie ya RA-ONE na movie ya BATMAN BEGINS. |
|
BOLLYWOOD na HOLLYWOOD hawaigani
posters pekee,lakini mara nyingine huenda mbali na kuigana hadi stori, siku nyingine nitawaletea list ya movies kutoka BOLLYWOOD ambazo
original stories zake zimetoka HOLLYWOOD na
vise versa........stay tuned for our upcoming posts...tchaooo.
No comments: