Leo niliikuwa iddle hivyo nikawa napitia pitia baadhi ya scenes kutoka movie ya HOME ALONE 2-LOST IN NEW YORK....to my suprise...nikamuona Donald Trump katika moja ya scene.Donald Trump licha ya kuwa mwanasiasa na akiwania uraisi nchini Marekani, pia Donald anajihusisha na mambo ya burudani akiwa tayar kashafanya movies na tv shows kadhaa,Trump pia ni kama Hashim Lundenga wa Marekani kwani tayari kaandaa na kusimamia mashindano kibao ya urembo.
though sipendi falsafa ya Donald Trump katika siasa,lakini nakubali sana mchango wake katika ulimwengu wa entertainment....anyway kabla sijahamia katika siasa hebu nirudi katika heading hapo juu,Picha hapo chini ni scene ambayo Donald Trump alionekana.Kama unakumbuka ile scene ambayo Kelvin baada ya kupotea jijini new york anaamua kutafuta hoteli ya kulala,alipoingia ndani ya hotel kubwa ya kifahari plasa hotel anapishana na watu kadhaa ikiwemo Donald Trump na anaamua kumsimamisha na kumuomba amuonyeshe mahalui ambapo reception ipo ili akachukue chumba.
Donald Trump katika movie ya HOME ALONE 2.
Donald Trump akimuonyesha kelvin mahala ambapo reception ipo.
Kelvin akisepa kuelekea reception baasa ya kuambiwa mahala ilipo na Donald Trump.
kuangalia video ya scene hiyo..click hapo juu uicheki......tchaoooo...stay tuned for upcoming posts.
ANGALIA SCENE YA DONALD TRUMP KATIKA MOVIE YA HOME ALONE 2.
Reviewed by Unknown
on
10:43
Rating: 5
No comments: