Breaking News
recent

MITOKO 15 ANAYOPENDELEA KIM KARDASHIAN.

Kimberly Noel Kardashian ndio jina halisi la mwanadada huyu anayejulikana kifupi kama Kim Kardashian.Ni mmoja kati ya Watu maarufu waliokuwa maarufu sana...yaani She is famous for being famous...Kim kwa sasa ana miaka 35 na mwaka 2003 ndipo alipata jina baada ya kuwa rafiki na stylist wa mwanamitindo Paris Hilton.Mwaka 2007 alijulikana kwa sana baada ya video ya ngono ya yeye akiwa na ex wake Ray Jay kuvuja mtandaoni,baada ya sakata hilo Kim alijipatia umaarufu sana na ndipo yeye na familia yake wakaandaa kipindi cha televisheni kinachoakisi maisha halisi ''reality tv show'',kinachoitwa Keeping up with the Kardashians.Toka kipindi hicho Kim ameendelea kutikisa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii akiwa na mamilioni ya mashabiki.

Nachompendea Kim kardashian sio sura yake ya kuvutia,wala sio umbo lake,nachompendea Kim ni jinsi anavyojua kutafuta hela na jinsi anvyojua ku-make lemonade out of a lemon,nikiwa na maana anajua kutumia changamoto na kufanya apate faida,toka mwaka 2007 ilipovuja ile sex tape,Kim hakutetereka na alitumia fursa hiyo kujulikana Hollywood,na hata kwa sasa ukimtafutia scandal Kim inakuwa kama umempa Kick la kufanikiwa...Anyway sikutaka kuongelea character ya Kim bali wardrobe yake,ni mitoko gani anapenda kutoka nayo iwe anaenda shoping au kaalikwa katika grammy awards au katika charity event,hebu check hapo chini ujionee;
-1
Mtoko huu unaitwa ''Crop top with matching pencil skirt''
-2
Mtoko huu unaitwa ''latex bodycon''  [my favorite]
-3
Mtoko huu unaitwa ''Sheer black top and black midi-skirt''
-4
Mitoko hii ni combination ya ''Black body suit,sheer black dress and  black jacket''
-5
Mtoko huu ni ''white top and black pencil skirt''
-6
Mtoko huu unaitwa ''Light-wash denim''.
-7
Mtoko huu unaitwa ''Long camel coat''
-8
Mtoko huu tena ni ''White crop top and white skirt''. [Kim's favorite]
-9
Mtoko huu ni ''Sheer dress with blak bra''
-10
Mtoko huu ni ''Black bandeau and black skirt''

-11
Mtoko huu ni ''Black cat suit''
-12
Mtoko huu ni ''Black t-shirt and black leather moto jacket''
 -13
Mtoko huu ni ''White long-sleeved midi dress''

-14
Mtoko huu ni ''Black leather jacket with black leggings''
-15
Mtoko huu ni ''A white blaser and a low cut white top''
Hiyo ni baadhi tu ya mitoko anayopendelea kuvaa Kim Kardashian akiwa katika maisha yake ya kila siku...
Tchaooo...Stay tuned for our upcoming posts.

No comments:

Powered by Blogger.