Breaking News
recent

ANDREW GARLFIELD Vs TOBY MAGUARE NANI ANAFAA ROLE YA SPIDER MAN?

Huwa Nabishana Sana Na Wenzangu Kuhusu Nani Mkali Kati Ya Andrew Garlfield Na toby Maguare nani mkali.Zifuatazo Ni Chambuzi  Wawili Hawa.. 

1-Science Genious- Andrew Na Toby Wote Wapo Vizuri Katika Somo La    Science Ila Ukiangalia Vizuri Movie  Za spider Man Utagundua Kuwa Toby allikuwa vizuri Zaidi.                   
 
 

 2.The hero- Toby Na andrew  Wote Wamejitahidi Kuwa heroes Na Kuulinda Mji Wa New York City Lakini Toby Ndiye Aliyeokoa watu na mji mara nyingi zaidi

 

3.The lover-toby Na andrew Wanadate Na marry jane Na Gwen.ilichukua muda Mrefu mpaka Marry jane Kugundua kuwa Peter Ndiye Spider  ila Gwen aligundua muda mfupi tu.Toby  kumlinda Marry jane Kuanzia Spider Man 1-3 lakini Andrew Alishindwa kumuokoa  gwen ambaye alikufa the amaizing spiderr man 2.                                      

4.the fighter-wote wawili wapo vizuri  katika kupigana ila toby ndiye kapigana  na villains hatar zaid kama sand man.octopus na wengineo andrew alipigana na lizard pamoja na elektro villains wa kawaida tu.vodeo hiyo inaelezea utofauti na upekee wa wawili hao kama spider man.

No comments:

Powered by Blogger.