kampuni ya American broadcasting company (ABC) inasiimamia show ya QUANTICO,Imelamba dume sana kumchukua Priyanka Chopra awe muhusika mkuu katika show hiyo.
ABC ingeweza kumchukua mwigizaji yoyote yule wa kike kutoka Marekani kama vile Kery washington au Zoe Saldana,lakini wakampa uhusika Priyanka na kw
a kufanya hivyo Priyanka amekua mwigizaji wa kwanza kutoka Bollywood kufanya show Hollywood akiwa kama mhusika mkuu.ABC ni kampuni kubwa imetengeneza series nyingi tu kama KYLE XY na ONCE UPON A TIME,Priyanka alipoulizwa kuhusu Quantico alisema ana furaha kufanya show hiyo ingawa ni mara yake ya kwanza kuigiza kwa kutumia Kiingereza muda wote,Priyanka alikuwa anapata shida kuongea lafudhi ya kimarekani' kuna muda wakati wana-shoot alikuwa anashindwa kutamka neno counter-terorrism katika lafudhi ya kimarekani' Utajiuliza kwanin nasema ABC wwamelamba dume?
Ni hivi Tv shows nyingi za marekani hazitazamwi India' Lakini Priyankaa ana mamilioni ya mashabiki India hivyo kufanya show na ABC kumeongeza viewers wa series hii' wahHindi wanaifuatilia kwasababu MTU wao anaigiza Priya ni kama Emma Roberts au Angelina jolie wa Hollywood' hivyo kufanya nae kazi kunawaongezea viewers ABC na kama tunavyojua India ina mamilioni ya watu hivyo show ya QUANTICO inazidi pasta watazamaji na kuifaidisha kampuni ya ABC:
ABC WAMELAMBA DUME KWA PRIYANKA CHOPRA.
Reviewed by
Unknown
on
08:59
Rating:
5
No comments: