Breaking News
recent

BEYONCE VS RIHANNA BEEF LISILOKWISHA..

Ni kwa muda sasa beef la chini chini kati ya beyonce na rihanna linaendelea.kwenye macho ya waandishi divas hawa wanaonekana kama hawana ugomvi mkubwa lakini vyanzo vya chini chini vinasema kuwa wawili hawa hawapatani.Chanzo cha kutopatana ni kwa sababu beyonce anahisi kuwa kuna uhusiano wa zaidi ya kibiashara unaoendelea kati ya Jay Z na Rihanna lakini hana uthibitisho.Rihanna anafanya kazi  za music kupitia lebo ya Jay z ROCKNATION hivyo muda mwingi anao wa kuzungumza na Jigger.

Pia katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu Tidal Beyonce na Rihanna walionekana kukwepana na pia kupitia mtandao wa "hollywood life" inasemekana nyimbo  "Bitch better have my money" ya rihanna ni dongo kwa beyonce lakini madai haya yanapingwa vikali kwa sababu nyimbo hiyo imeandikwa na watu wanne akiwemo Kanye west ambaye pia ni msaidizi wa beyonce katika mazoezi ya sauti' Hivyo Kanye hawezi husika kumtungia rihanna nyimbo ya kumdiss beyonce wakati ni rafiki yake pia.Pia Jay Z aliwahi azima gari la Rihanna aina ya Porsche kwa sababu gari lake aliagiza na lilikuwa bado halijaletwa.Kitendo hiki pia kilimuudhi beyonce na inasemekana walipokuwa Calfornia beyonce alimkaripia Jay Z alafu akasema maneno "that bitch Rihanna" kuonyesha kuwa bado ana wasi wasi kuhusu uhusiano wa mumewe na mwanadada Rihanna.Kimziki wote wawili wapo vizuri na wameuza Mamilioni ya nakala za albamu.                       


No comments:

Powered by Blogger.