MJUE MTOTO AMBAYE AMEWEZA KUMARK MAENEO YALIO NA MAGAIDI PAMOJA NA MIZUNGUKO YAO.


kijana huyu wa kireno ana umri wa miaka 19 tu na hajawahi kwenda sehemu hizo za kigaidi kama nigeria,sudani na nyinginezo.
Thomas van Linge amemaliza elimu yake ya sekondali kwa sasa lakini tayari anajua makundi ya kigaidi na yenye hitikadi kali za kidini yanaelekea wapi na hata sehemu walizo kaa kwa sasa. Amekuwa akiandaa ramani zenye maelezo ya kujitosheleza ambazo zimeonyeshwa na magazeti makubwa kama New York Times,CNN na mengineyo.mtoto huyu wa miaka kumi na tisa hajawahi kufika hata africa lakini ameweza kuandaa vitu vyote hivyo akiwa chuimbani kwake.
Kila siku Thomas van Linge hupitia na kuangalia twitter,facebook na youtube ili ajue ISIS,majeshi huru ya Syrian, Lebanon’s Hezbollah, Libya’s Zintan Brigades,Boko Haram wa Nigeria ili apate kujua wanafanya nini. Kijana huyo anasema "nataka kuwajulisha watu kuhusu ugaidi pia nataka waandishi wahabari wanao enda sehemu hizo wajue sehemu zipi zi za kwenda kabisa na pia nataka kuwaonyesha ujuzi na utundu uliongezeka tangu waanze".

wakati kama huu vijana wengi wapo busy kuchezea simu na magame lakini kijana huyu alianza kufwatilia maeneo hayo akiwa na umri wa miaka kumi na tano ambapo aliweza kuyaonyesha maeneo ya kivita huko msri haswa wakati wa mapinduzi ya misri mnamo mwaka 2011.Ambapo baada ya hapo alifwatilia sehemu kama Silya na Libya ambapo alitengeneza ramania akionyesha hali halisi ya YPG na majeshi ya Silya mnamo mwaka 2013.

hizo ni baadhi ya ra ramani ambazo mtoto huyo katengeneza
No comments: