Breaking News
recent

URAFIKI WA LEORNADO DICAPRIO NA TOBY MIGUARE.

Waigizaji Toby Miguare Na Leornado Dicaprio Ambao wanajulikana Kupitia Movie ya TITANIC (Leornado) Na Spider Man (Toby) Ni Marafiki Wakubwa Kwa Zaidi Ya Miaka 25 Hadi Sasa; Toby Na Leornado Walikutana Kwa Mara Ya Kwanza Miaka Ya 1980's  Wote  Katika Kufanya Audition Ili Kupata Nafasi Ya Kuigiza Hollywood. Wakati Wa Kuondoka Leo Alimwomba Lift Toby Na Huo Ndio Ukawa Mwanzo Wa Urafiki Wa Mastar Hawa Wa Hollywood. Mnamo Mwaka 2013 Waliigiza Movie Yao Kwa Pamoja Iliyoitwa THE GREAT GATSBY Hadi Hadi Sasa Wawili Hao Ni Marafiki Na wanafanya Vizuri Katika Soko La Filamu Nchini Marekani.

http://images5.fanpop.com/image/photos/26100000/Tobey-Maguire-tobey-maguire-26191794-414-349.jpghttp://resizing.flixster.com/CwM_QL1Uyohgxpx1Tj-P4CNT4YM=/800x1200/dkpu1ddg7pbsk.cloudfront.net/movie/11/17/25/11172588_ori.jpg

No comments:

Powered by Blogger.