Breaking News
recent

KISWAHILI CHATANGAZA BONGO VIZURI HOLLYWOOD

Kiswahili ni moja ya lugha kubwa barani Afrika, kikizungumzwa haswa East Africa na nchi kama KenyaKenya, UgandaUganda,Burundi,Rwanda, Democratic Republic of the CongoJamuhuri ya muungano wa Congo na kikitumika kama lugha ya taifa nnchini Tanzania Tanzania

 HISTORIA

Kiswahili ni lugha ya kibantu na lugha ya kwanza ya waswahili neno kiswahili limetoka kwenye lugha ya kiarabu likimaanisha sawāḥil(سواحل) likimaanisha lugha ya watu wa visiwani.lugha hii ina misingi ya kiarabu na maneno yake mengi ni ya kiarabu iliyo anza haswa huko visiwani. huzungumzwa na watu zaidi ya million 49 kama lugha yao ya kuzaliwa. nchini Tanzania kiswahili husimamiwa na balaza la Kiswahili la taifa  na nchini kenya husimamiwa na Chama cha Kiswahili cha Taifa.
 
KISWAHILI HOLLYWOOD
imekuwa fahari kubwa sana kwa East Afrika kuona lugha hiyo ikivuka mipaka hadi kufika nchi za mbali na kuthaminiwa na wasanii wakubwa na hata kakika industry kubwa ya movie ambapo katika baadhi ya movie kimetumika kama part tu ya mazungumzo na nyingine zikitumia katika movie nzima.

Chini ni baadhi ya movie zilizohusisha kiswahili na hata kuchukua tuzo 

  1. The Last King of Scotland (2006)
    ikihusu udictator wa idd amini ambao alikuwa akiufanya kwa uganda,
    ambapo mwaka 2007 ilishinda Oscar Awards  
       
      2. The Lion King (1994)
          movie ambayo najua wengi mmeiona ikihusisha mazingira ya tanzania kama mbuga ya Serengeti na 
          mlima Kilimanjaro  
   

      3. Nowhere in Africa(2001)
         Hii ni movie ya kigerman ikihusisha mazungumzo mengi katika lugha ya kiswahili na kigermani, movie 
         hii inamwonyesha kijana wa kiislaeli akikimbilia kenya kukimbia vita ya pili ya dunia iliyoanzishwa na 
         Adolf Hitra

     4.Out of Africa (1985)
        Movie hii ilichezwa kufwatana na kitabu cha Isak Dinesen ambaye alishinda tuzo inahusu wakenya 
        haswa

    5. The African Queen (1951)
        inahusu vita ya pili ambapo nahodha wa boti ndogo ya kiafrika analazimika kupigana na vyombo vya
        kivita vya majini vya nchi nyingine 

   6 .Mean Girls (2004)
       movie hii inaweza ikawa si ngeni sana kwako ikiwahusisha wadada ambao wanajiweza sana kifedha
       wanapenda sana kujulikana shuleni lakini inakuwa toofauti anapo amia dada mwingine amabaye maisha
       yake ni ya chini lakini anakuwa anajulikana kuliko wao 

  7. The A-Team (2010)
      inahusu wanajeshi wa malekani ambao walienda kupigana vita lakini wakasingiziwa kosa amabalo 
      hawajafanya hivyo wanalazimika kusafisha majina yao

  8. Mr. Peabody & Sherman(2014)
      movie hii ya katuni inamwonesha mbwa mwenye akili sana ambaye ana mwadopt mtoto na kuishi nae
      lakini baadae anapata shida na kuambiwa hawezi kutunza mtoto kiswahili kilitumika kama pati fulani
      ya mazungumzo

 9. Madagascar: Escape 2 Africa (2008)
     movie si ngen kwako ikiwahusisha wanyama waliokuwa wanakaa zoo lakini wanatoroka na kuja Afrika 
     wakisema tumerudi nyumbani

10.American Pie Presents Beta House (2007)
     Movie hii ambayo kwa kiasi fulani ina mambo makubwa inahusu maisha ya wanafunzi fulani katika chuo
     amabapo maisha yao ni sherehe na michezo tu
     American Pie Presents Beta House (2007) Poster Madagascar: Escape 2 Africa (2008) PosterMr. Peabody & Sherman (2014) PosterThe Last King of Scotland (2006) Poster

 

  Nowhere in Africa (2001) PosterMean Girls (2004) PosterThe Lion King (1994) PosterOut of Africa (1985) Poster

     
kiujumla kuna movie nyingi sana ambazo zinatumia lugha ya kiswahili sasa na balaza na watu kiujumla wanashirikiana kukitangaza ili kizidi kukuwa 

HASANTE KWA KUSHIRIKI KUKUZA LUGHA YA KISWAHILI.............. 



No comments:

Powered by Blogger.