Breaking News
recent

ANGALIA TRAILER LA MOVIE YA DEADPOOL.

This is why nawapenda MARVEL over DC COMICS,superheroes wao wana character flani amaizing plus sense of humour, bonge la movie kitu kinatoka Valentine day,yeah siku ya wapendanao kitu knaachiwa,Ndani Utamkuta Ryan Reynolds jamaa miaka kadhaa iliyopita aliigiza kama GREEN LANTERN katika movie Iliyoandaliwa na DC COMICS,licha ya upinzani mkubwa kati ya DC na MARVEL Ryan Kafanya nao kazi wote,haya now u can watch the trailer...cwezi nikakupa plot kiufupi trailer linajielezea vizuri zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.