Baada Ya Kukimbiza sana mwaka jana na track zake kama 'Blank Space","Shake It Off" na "Wildest Dreams" .Taylor kaanza mwaka na kibao kipya cha OUT OF THE WOODS,bonge la nyimbo,video nayo imesimama hebu ichek hapa!!!
TAYLOR SWIFT AANZA MWAKA KIANA YAKE.
Reviewed by Unknown
on
01:27
Rating: 5
No comments: