Breaking News
recent

WAJUE CELEBRITIES WA HOLLYWOOD WALIOJIBADILISHA JINSIA [TRANSGENDER]

Imekuwa kawaida kwa celebrities wa nchi ilioendelea kama Marekani kubadilisha jinsia,linawea likaonekana ni jambo la ajabu sana hasa kwa utamaduni wetu wa kiafrika.Lakini Marekani watu waliojibadilisha jinsia [transgender] wapo wengi sana na wanashiriki katika shughuli mbali mbali kama music,modeling,acting na nyingineo.Leo nakuletea orodha ya celebrities walioamua kujibadilisha jinsia,wakiongowa na baba yake Kim Kardashian Caitylin Jenner ndio jina analojiita,ingawa hapo kabla alijulikana kama Bruce Jenner.
BAADHI YA WATU AMBAO NI TRANSGENDER.




Watu hawa hubadilisha jinsia kwa sababu mbali mbali,wapo wanaojiona wana tabia kama wasichanaa hivyo huona heri wajibadilishe pia wapo wasichana ambao wanaona wana tabia kama wavulana hivyo huamua kujibadilisha.Wafuatao ni baadhi ya celebrities wa Hollywood waliojibadilisha jinsia.
1.BRUCE JENNER au CAITLYN,Ni moja ya stori iliyofanya watu washangae sana pale Bruce Jenner alipoamua kuijulisha dunia kuwa yeye ni transgender,ilionekana ajabu kwa sababu Bruce tayar ashapata watoto na tayar alikuwa na mke,sasa inakuwaje mtu alikuwa na mke na watoto lakini bado akaamua kubadili jinsia.Bruce pia background yake inaonyesha alikuwa mwanariadha mwenye mwenye mafanikio.
Siku nasikia kuhusu Bruce kubadili jinsia sikushangaa sana,nikajua ni drama tu nyumbani kwa kina kardashians,familia ya kardashian wanapenda sana kik hivyo nikajua hii ni moja ya stunt waliyoitumia ili tu wapandishe chati ya viewers kwenye kipindi chao cha keeping up with the kardashians,lakini baadae jamaa akaonekana  yupo serious na watu wakajua haikuwa stunt bali ni kitu halisia.
2.LAVERNE COX,Dah huyu alinichanganya balaa alikuwa my celebrity crush alafu baadae nakuja gundua kumbe alikuwa mwanaume hapo kabla.Aliweka rekodi mwaka 2014 baada ya kuwa mtu wa kwana kutoka jamii ya transgender kushinda emmy awrds,kupitia series yake inayoitwa ORANGE IS THE NEW BLACK.Laverne ana pacha wake anayeitwa Lamar na wapo wote katika series yake ya ORANGE IS THE NEW BLACK.





















Laverne ni mmoja kati ya wanaharakati wanaotetea watu waliobadili jinsia [transgender],kuweka hadharani kuhusu jinsia yake kulifungua mlango kwa celebrities wengi kufunguka ukweli hadharani.
3.Isis King,Isis aliweka rekodi licha ya kuwa transgender aliamua kwana kushiriki katika mashindano ya wanamitindo,Isis alishiriki katika mashindano ya American Next Top Model,pia alishiriki tena mashindaano mbali mbali yanayohusu urembo na mitindo.

Kabla ya kubadili jinsia Isis alijulikana kwa jina la Darell Walls.Isis ni mmoja wa transgender waliopata umaarufu sana na kuonekana sana kwenye televisheni.

4.Lana Wachowski,hapo kabla alikuwa anajulikana kama Larry Wachowski mpaka mwaka 2012 alipoamua kubadili jinsia.Lana ni mwandishi wa filamu,pia ni Director na Screen Writer amefanya movie kama THE MATRIX,JUPITER ASCENDING na V FOR VENDETTA.
5.Lilian Wachowski,miaka kadhaa baada ya kaka ake Larry kubadili jinsia na kujiita Lana ndipo naye akaamua kubadili jinsia na kuwa Lilian.Hivyo Lilian na Lana ambao walikuwa wanajulikana kama the wachowski brothers baada ya kubadili jinsia wakawa wanaitwa the wachowski sisters.
 6.Charles Bono,huyu tofauti na wengine wengi yeye aliamua kubadili jinsia kutoka kuwa mwanamke na kuwa mwanaume.Miaka ya 70 charls alionekana katika vipindi vya televisheni akiwa kama binti mdogo.
CHARLS KABLA NA BAADA YA KUBADILI JINSIA,
Mwaka 2011 Charls alitoa documentary aliyoiita ''BEING CHARLS'',na kabla ya Laverne na Caityln kujulikana Charls ndiye alikuwa Transgender maarufu kati ya celebrities wote nchini Marekani.
7.Candice Cayne,Huyu nae alikuwa na pacha wake aitwaye dayln,Candice ni actress lakini pia ni dancer.candice ndiye transgender aliyeansa kuonekana katika filamu akiwa na uhusika wa kuwa transgender,na baadae wengine wakafuata kama Laverne kwenye series ya ORANGE IS THE NEW BLACK.Filamu ambayo candice alikuwepo iliitwa DIRTY SEXY MONEY.
CANDICE KABLA NA BAADA YA KUBADILI JINSIA             

Candice naye alichukua hatua hiyo ya kubadili jinsia mara baada ya kuona ana element kama msichana hivyo akaamua kujibadili jinsia yake ingawa hapo kabla alikuwa mvulana akijulikana kwa jina la McDanniels
 8.Rennee Richards,kati ya watu ambao walisaidia harakati ya transgender community Rennee naye alikuwepo.Mnamo mwaka 1976 chama cha Tennis nchini Marekani Kilimfungia Renneee kushiriki mashindano ya U.S OPEN kwa sababu alikuwa transgender.Rennee alikifikisha mahakamani chama hicho hatimaye aliruhusiwa kushiriki michuano hiyo.
RENNEE KABLA NA BAADA YA KUBADILI JINSIA.

Celebrities waliobadili jinsia wapo wengi tu,hao niliowataja hapo juu ni baadhi tu....tchaaooo..stay tuned for our upcoming posts.

No comments:

Powered by Blogger.