PICHA ZA KUFURAHISHA ZA MASTAR.
![]() |
| JACKIE CHAN (Nahis director aliamwambia acheze sex scene hahaha) |
![]() |
| JESSIE J akifanya yake,,,the domo though |
![]() |
| SELENA GOMEZ ( alivyoshangaa ukafikiri kaulizwa kama ana mimba ya Justin Bieber) |
![]() |
| Hapa nahisi Miley aliulizwa are you lesbian? |
![]() |
| JUSTIN BIEBER (Huo mkono kifuani kwa dada watu sijui ulikuwa unafata nin?) |
![]() |
| BEYONCE naye paparazi walimuotea pabaya. |
![]() |
| ARIANA akiwa katika geek style. |
![]() |
| Obama na first lady wake wakifanya yao. |
![]() |
| BEYONCE (nahisi kuna fan alitaja jina la Rihanna) |
![]() |
| JULIA ROBERTS (Alisahau kunyoa maeneo) |
![]() |
| KYLIE JENNER (Sijui ni mdudu alimuingia jichoni) |
![]() |
| KIM KARDASHIAN (Sijui aliambiwa North kavunja her make up kit) |
![]() |
| MICHELE OBAMA.. (Duh hapa first lady walimuotea domo kama msanii flani wa bongo) |














No comments: