ABOUT BLOG/IJUE BLOG
Feel design ni blog ambayo inahusu maisha kiujumla
ikizungumzia maisha tanzania na hata nchi za mbali katika aspects kama michezo
na burudani pia muziki pamoja na fashion bila kusahau movies.
Blog hii imefunguliwa na prosper ngalla akiwa kama director
mkuu pamoja na betuel edson akiwa kama chief exercutive wa blog,
![]() ![]() |
BETUEL EDSON AND PROSPER NGALLA |
Maremgo makubwa ya kuanzishwa kwa blog hii ni
kukurahihisishia maisha msomaji much less kukukeep upto date na yale yanayojili
katika secta kama za uigizaji,muziki,filamu na hata art
Kama ambavyo tumejitambulisha mara ya kwanza blog hii
itadeal haswa na fashion,muziki,movies,travel,food na mengine mengi tukiwa tuna
nia ya kukufanya ujue uvae nini msimu huu,nini cha kuvaa unapoenda kazini,nini
usivae ukiwa dinner na mengine mengi.
Msomaji unaweza kuwasiliana nasi mija kwa moja kwa kucomment
kupitia page yetu ya facebook “FEELdesign” ama kwa kutuandikia email kupitia
email yetu feeldeign96@gmail.com .
THANK YOU…..
Well done
ReplyDeletethank you Huruma Amoni feel free to share
ReplyDelete