SIRI KUMI USIZOZIJUA KUHUSU IRON MAN
VITU KUMI AMBAVYO HUJUI
KUHUSU IRON MAN HATA KAMA NI MPENZI WAKE MKUBWA
Hivi ni vitu kumi vizuri na vya ukweli kuhusu Iron man akiwa
kama Marvel character…
1.
- 1. Robert Downey Jr. alilipwa mara 100 zaidi katika Avengers kuliko alivyo lipwa katika Iron man ya kwanza pia huyu mkali wa Iron man, Robert Downey Jr anahesabiwa kama mmoja ya maactor wanaolipwa pesa nyingi sana huko Hollywood.

- 2.Katika mwanzo wa iron man, magaidi/watekaji waTony stras wanaonyesha mwanzo wa movie kwa lugha ya tofauti lugha ijulikanayo kama Urdu ambayo ni lugha inayoweza kueleweka na watu watokeao pakistani au waliojifunza kipakistani tu.
- 3. Iron man ingeweza kuchezwa na actor maarufu Tom cruze lakini actor huyo alikataa kwa madai kwanba script mbaya.

- 4. Suit ya iron man inaweza kubeba hadi tonne 100 kama iko full powered ambao ni sawa na uzito wa hulk akiwa ametulia au relaxed

- 5.Iron man atafikisha miaka 52 mwaka huu2015 akiwa alitengenenzwa mwaka 1963 kama ant communist ambapo alikuwa akitegemea haswa katika technologia na ukizingatia kipindi hicho alikuwa na matatizo ya kunywa pombe sana(alcoholic).
- 6. Suit ya iron mani inaweza ikaingia katika uharisia kwa sababu makampuni mengi yameonekana yakiangaika kuitengeneza ambapo itamsaidia mwanajeshi kubeba mizigo ya kilo hata 200 huku akikimbia kwa speed.
- 7. Robert Downey Jr anachukuliwa kama mmoja wa ma super hero’s wakongwe sana tofauti na Chris Evans au Andrew Garfield lakini anasifiwa kwani technique zake za kupigana bado nzuri.

- 8. Ilichukua maika 20 kutengeneza iron man 3 ambapo ilikuwa ikitengenezwa katika studio tofauti tofauti kwanzia mwaka 1990.

- 9. Uzito wa suit ya iron man ni 20lbs kwa sababu hiyo Downey jr alibidi asaidiwe na stunts mens pamoja ma kamba zilizo ishikilia suit hile

- 10.Stark alibadilisha rangi ya suit yake kutoka metallic gray kwenda ya gold na baadae kwenda kuwa nyekundu na gold alifanya ivyo kwa sababu ya ushauri aliopewa na mpenzi wake kuwa rangi ya metallic ingewatisha watu aliotakiwa awasaidie.

No comments: