Breaking News
recent

BABA WA KIM KARDASHIAN AJIBADILISHA KUWA MWANAMKE

Nanuku katika series yake ioneshwayo na E entertainment iliyopewa jina la I AM CAIT mwanadada huyo anayejiita CAITLYN JENNER alisema "tangu utoto wangu nimekuwa nikihisi na kasoro kwani nilikuwa nikipenda kujaribu nguo za mama angu na miaka na ukweli ni kwamba sikuwahi kuwa na furaha mpaka wakati huu ambapo nimeona haina budi kutoa siri iliyokuwa ikinitesa kwa miaka mingi kwani jambo la muhimu katika familia na ndoa ni kuaminiana"

historia fupi ya Bruce Jenna/Caityin Jenner
Caitlyn Jenner ama zamani alijulikana kama Bruce Jenner alizaliwa mnamo mwaka  1949/28 Octoba.
Amaye ni mstaafu wa michezo ya riadha ambapo mnamo mwaka 1976 aliweza kushinda olympics games na tangu mwaka 2007 amekuwa akishiriki katika reality show Keeping Up with the Kardashians ambapo kwa sasa ana reality show yake iitwayo I Am Cait.
Jenner ana watoto sita kutoka kwa mke wake Chrystie Crownover ambapo mwaka huu jennar alisema kuwa yeye ni mwanamke  trans woman 

https://pmcvariety.files.wordpress.com/2015/06/caitlin-jenner-media-strategy.jpg?w=670&h=377&crop=1 

Caitlyn akiwa anaojiwa na Vanity Fair alisema nitaendelea kuishi maisha na zaidi nitayafurahia kwa sababu kwa sasa sina kitu cha kuficha mimi ni kama mtu huru, wakati huu nisingekuwa nimetoa siri ningekuwa nimevaa sweta la kofia na hata kuficha kucha zangu ilia waandishi wa habari wasiweze nitambua lakini sasa nipo huru, kuweza kuamka asubuhi na kuamua cha kuvaa bila kuwaza lolote kama watu wengine ni jambo zuri na linalo nipa furaha.

 

Katika show yake I AM CAIT ,Jenner alionesha kuwa na wasiwasi sana kukutana na familia yake kwani alisema "ni lahisi sana kuongea na mtu usiye mjua lakini sio na mtu yule wa karibu yako' ambapo aliweza kuongea nao na walimpokea kwana aliwahakikishia kuwa yeye ni yule yule na ataendelea kuwa karibu yao kama siku  zote za nyuma.
Lakini mke wake alionyeha kuumia sana kwani alisema 'nilitegemea ningezeeka nikiwa na jenner kama mme wangu na hata mara moja sijawahi tegemea jambo hili" lakini kwa sasa mambo yanaonekana kuwa shwari kwani kitu kikubwa kilicho mtisha Caitlyn ilikuwa ni mtazamo wa watu je watamchukuliaje lakini dunia imemchukulia sawa na familia yake inamsupport.

http://images.indianexpress.com/2015/06/caitlynjenner7591.jpg

Je wewe unamtazamo gani kuhusu hili?


 






No comments:

Powered by Blogger.