FIFTH HARMONY VS LITTLE MIX. MAKUNDI YA MUZIKI YA AKINA DADA YENYE UPINZANI MKALI NCHINI MAREKANI.
FIFTH HARMONY Na LITTLE MIX Ni Makundi akina Dada Nchini Marekani Yenye Upinzani Mkubwa Katika Muziki.Upinzani Wa Makundi Haya Ni Mkubwa hadi Kupelekea chuki Na Uadui Wa Chini Chini Unaoonyeshwa Na Mashabiki Wa Pande Hizo Mbili.Makundi Yote Hayo Yalianza Kuvuma Kuanzia Miaka Ya 2010'S LITTLE MIX Waliibukia Kutoka Katika ashindano La X FACTOR Na FIFTH HARMONY Walianza Mwaka 2010. Kwa Sasa Makundi Hayo Yanafanya Vizuri Katika charts Mbali Mbali Za Muziki.FIFTH HARMONY Wanafanya Vyema Na Kibao Cha WORTH IT Walichomshiriki Kid Ink. LITTLE MIX Wanafanya Vyema Na Kibao Chao Cha BLACK MAGIC.


No comments: