Baada ya miezi kadhaa ya kutupiana maneno Katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii hatimaye Nia na Chris Brown wafikia maelewano kuhusu malezi ya mtoto wao Royalty,Wawili hao walikuwa wakigombani kila mtu alikuwa anataka kuishi na mtoto huyo,
Nia alidai kuwa Chris sio baba mwajibikaji hivo aliitaka mahakama imkabidhi majukumu yote kama mzazi wa mtoto huyo.Jana kwa makubaliano ya wazazi wote wawili mahakama iliwakabidhi majukumu sawa Nia na Chris,Chris anatakiwa kumlipa kiasi cha dola 2500 kila mwezi mzazi mwenza Nia,pia Chris anatakiwa kulipa gharama zote kama vile ada na bima ya mtoto. (Chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE).
CHRIS BROWN NA NIA GUZMAN HATIMAYE WAFIKIA MAELEWANO KUHUSU MALEZI YA MTOTO.
Reviewed by
Unknown
on
05:22
Rating:
5
No comments: