Breaking News
recent

JUSTIN BIEBER AELEZA KUHUSU MAPENZI YAKE NA SELENA.

 
Justin Bieber afunguka jinsi maisha yake ya kimapenzi na Selena gomez yalivyokuwa.Justin aliongea hayo katika interview na "The complex magazine",Justin alisema yeye na Selena walipendana  sana ila kila siku walikuwa wakigombana kuhusu mambo madogo madogo,Justin alisema kipindi ana-date na Selena alikuwa bado mdogo hivyo maamuzi aliyoyafanya yalikuwa ya kitoto,JB alisema yeye na Selena walikuwa kama wameoana vile kwa sababu walikuwa wanaishi nyumba moja,Kuishi nyumba moja na mpenzi wake huyo kukapelekea mifarakano ya hapa na pale hatimaye waliachana,JB anasema licha ya kuachana na Selena lakini bado wanawasiliana na ni marafiki wa karibu,Je wawili hawa watarudiana? Tusubiri (chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE).

No comments:

Powered by Blogger.