
Kylie na mpenzi wake Tyga wameanza kuzinguana,Inasemekana Kylie hajaona mafanikio ya kimuziki ya Tyga hivyo angependa aongeze bidii,Kylie alimwambia tyga kuwa ajitahidi katika muziki yeye anajisikiaje akiingia klabu alafu anakuta mashabiki wana-rap nyimbo za wasanii kama Drake,kwanini isiwe za Tyga?. Tyga hakupendezwa na diss hilo na yeye akamjibu bae wake huyo kwa kumwambia kuwa hajui lolote kuhusu mziki kutwa nzima yeye ni kupost tu video kwenye mitandao ya kijamii kama Snapchat,wawili hao bado hawajakaa vizuri na wanazidi kugombana tofauti kabisa na walivyoanza mapenzi yao kwa mbwembwe. (chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE).
No comments: