Breaking News
recent

KWANINI MILEY CYRUS KABADILIKA SANA?

Miaka kadha iliyopita Miley Cyrus alikuwa mfano wa kuigwa "role model" kwa vijana na watoto pia,lakini sikuizi amekuwa sio mtu wa kuigwa na watoto na jamii inayomzunguka.Nini kimemkumba yule mtoto aliyeigiza HANNAH MONTANA mpaka amekuwa hivi alivyo leo,mtu ambae haiishi vituko katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari.Miley alianza kubadiilika akabadili style yake ya nywele,akaanza vituko kama kile cha kucheza kihasara na Robin Thickle,akatoa video za ajabu "wrecking ball" na "we cant stop",na hivi karibuni amefika mbali zaidi baada ya kuanza mapenzi ya jinsia moja!!! nini hasa kimembadili Miley kutoka "an inocent disney princes to a big slut",kwanini kabadilika sana? Inasemekana ni kwa sababu zifuatazo:                

1-kutaka attention: Miley anataka watu wa-notice anachofanya ndio maana anafanya vituko mbali mbali ili aonekane katika jamii na kujiongezea umaarufu wake kwa mashabiki.                                        

2-Kutaka pesa zaidi:Miley anafanya vituko kibao ili ajiongezee kipato ingawa tayari anaingiza mamilioni ya pesa kupitia kazi zake za music na baadhi ya movie anazocheza.       

3-Athari ya madawa anayotumia:inasemekana miley anatumia dawa za kulevya hivyo akili yake haijatulia na hivyo kujikuta anafanya mambo ya ajabu katika jamii inayomzunguka.      
 

4-Kutolelewa vizuri na wazazi wake:kubadilika kwa Miley pia kunaweza kukawa kumechangiwa na wazazi wake.Baba wa Miley bwana Bill Ray Cyrus anapokea lawama nyingi kwa kushindwa kumlea mwanae katika mazingira ya kimaadili hivyo kuiaibisha familia hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.