Breaking News
recent

"ONCE UPON A TIME" SEASON 5 YAACHIWA HEWANI LEO.


Hakika hii ni miezi ya baraka (september,october,november & december) kwa wapenda series wote kwa sababu miezi hii ndiyo miezi ya uzinduzi (premieres) wa series mbali mbali.Siku chache zilizopita EMPIRE season 2 iliachiwa hewani na leo series ya "ONCE UPON A TIME" imeachiwa season 5,tutarajie kuona mengi tulimzoea Rumpelstilksin kama dark one saizi Emma ndiye amekuwa dark one.Emma aliamua kuwa dark one ili amuokoe Regina na tulishuhudia kwa mara ya kwanza Emma alimeambia Captain Hook "i love you" kwa hiyo tutarajie mengi season 5 sio ya kukosa.Check it out Guys!!! (Chanzo cha habari-Hollywood life).

No comments:

Powered by Blogger.