DEMU MPYA WA ZAYN MALIK KAFANANA NA EX WAKE,PERRIE EDWARDS.
Ex-member wa kundi la ONE DIRECTION Zayn Malik amewashangaza mashabiki wake baada ya kuonekana na msichana anayehisiwa kuwa ni mpenzi wake kufanana na mpenzi wake wa zamani member wa kundi la LITTLE MIX mwanadada Perrie Edwards.Mpenzi wake huyo mpya ambaye bado jina lake halijafahamika anaonekana kufanana sana na Perrie kiasi cha kuwashitua mashabiki na kuhisi huenda Zayn bado anampenda Perrie ndio maana ameamua kum-date msichana anayefanana na ex wake huyo. (Chanzo cha taarifa-Hollywood Life)
No comments: