Movie iliyokimbiza miaka ya nyuma na karibuni MEN IN BLACK inatarajiwa kutolewa tena kwa mara ya nne.Movie ya MIB ilianza kutolewa mwaka 1997,sehemu ya pili ikatoka mwaka 2002 na ikaja kutoka kwa mara nyingine tena mwaka 2012.Will Smith ambaye alikuwepo movie zote sehemu ya kwanza hadi ya tatu haijafahamika kama atakuwepo kwenye MIB mpya au la,ingawa mashabiki wengi wanapenda awepo (nikiwemo mimi).Producers wa movie za MIB wamethibitisha kuwepo kwa mpango huo wa kuiendeleza movie hiyo lakini na wap hawajasema lolote kuhusu uwepo wa Will Smith.
MOVIE YA "MEN IN BLACK" KUTOLEWA TENA.
Reviewed by
Unknown
on
14:35
Rating:
5
No comments: