selena Gomez Yupo jijini London Nchini Uingereza katika mishe zake na amekuwa kivutio kwa waandishi wa habari nchini humo kutokana na mavazi yake.Chek picha zake hapo chini,zote hizo amepigwa siku moja akiwa katika mavazi tofauti tofauti na yote yalimkaa vyema.
CHECK PICHA ZA SELENA GOMEZ AKIWA KATIKA UBORA WAKE JIJINI LONDON,UINGEREZA.
Reviewed by Unknown
on
13:57
Rating: 5
No comments: