Breaking News
recent

MSANII FETTY WAP APATA AJALI MBAYA.

Mwimbaji Willie Maxwell maarufu kwa jina la kisanii la Fetty Wap jana tarehe 26/Sept alipata ajali mbaya baada ya kugongwa na gari akiwa katika piki piki yake.Fetty alipatwa na ajali hiyo maeneo ya Preston,New Jersey nchini Marekani.Hadi sasa hali ya Fetty Wap siyo ya kuridhisha na tayari mashabiki pamoja na wasanii wenzake wameanza kumpa pole zao.Fetty alitamba na ngoma yake ya "trap queen" iliyomtambulisha vilivyo kwenye anga za muziki nchini Marekani na Duniani kwa ujumla.GET WELL SOON FETTY WAP.

No comments:

Powered by Blogger.