Breaking News
recent

JUSTIN BIEBER NA ONE DIRECTION KUZINDUA ALBAM SIKU MOJA.

kundi la ONE DIRECTION na Msanii Justin Bieber wanatarajia kuoneshana upinzani mkali kwa kuwa wote wanazindua albamu zao siku moja.Kundi la 1D na JB wote watazindua albamu Mwishoni mwa mwaka huu.November 13 mwaka huu itakuwa siku nzuri kwa mashabiki wa JB na kundi la 1D siku hiyo JB atazindua album yake inayokwenda kwa jina la "WHAT DO YOU MEAN?" Na kundi la ONE DIRECTION litazindua album yao inayokwenda kwa jina la "MADE IN THE A.M".Je? Nani atamfunika mwenzake? Tusubiri Nov 13 tuone.

No comments:

Powered by Blogger.