Breaking News
recent

DC COMICS VS MARVEL.

Unapoongelea movie za superheroes ni vigumu sana kuyaacha makampuni mawili DC COMICS na MARVEL. Makampuni haya ni maarufu na yana upinzani mkubwa kampuni ya MARVEL imetoa movie kama SPIDER MAN ' X-MEN na THE AVENGERS kwa upande wa DC COMICS wao wana movie kama CAT WOMAN' BAT MAN na SUPERMAN.Kampuni hizi zinalinganishwa kama ifuatavyo:                                           

 1.FINANCIAL SUSSES:DC na MARVEL zote zimeingiza hela nyingi kupitia movie zake.Kwa mfano movie za BATMAN ziliingiza kiasi cha dola za kimarekani bilioni 2.5 kwa upande wa MARVEL movie ya THE AVENGERS-AGE OF ULTRON hadi sasa imeingiza dola za kimarekani bilioni 1.5.MARVEL ndio wana mafanikio zaidi kwa sababu mwaka huu list iliyotolewa na FORBES inaonyesha kuwa Mwigizaji kutoka MARVEL Robert downey Jr ndiye anaongoza kulipwa pesa nyingi duniani.Mwigizaji huyo anatamba na movie za IRON MAN pamoja Na THE AVENGERS ambazo zote zipo chini ya MARVEL.                                            

2.COMAPNY STRUCTURE: MARVEL ipo chini ya WALT DISNEY matangazo yote kuhusu marvel yanafanywa na WALT DISNEY kwa upande wa DC nayo ipo chini ya WARNER BROS hivyo movie zake zote hutangazwa na WARNER BROS.                                                     

3.CHARACTER ANALYISIS:ukianza kuwachambua characters wa DC na MARVEL katika umaarufu company zote superheroes wake maarufu kwa mfano MARVEL spider man ndiye character anayeongoza kwa umaarufu na DC super man ndiye anajulikana na watu wengi hivyo kwa hapa wote wamelingana kwa sababu characters wao wote maarufu.               

 4.MOVIE SERIES AND HITS:DC na MARVEL wote wametoa movie nyingi na series.Kwa upande wa DC movies zilizokuwa na mafanikio ni BATMAN-DARK KNIGHT RISES na CAT WOMAN' Series za DC zinazofanya vizuri kwa sasa ni THE FLASH na ARROW.Kwa upande wa MARVEL movie zilizowapa mafanikio ni IRON MAN na THE AVENGERS 1&2 kwa upande wa series ni MARVEL-AGENTS OF SHIELD na DARE DEVIL ndio zinafanya vizuri.                      

5.FAN BASE-DC na MARVEL wana mashabiki wengi kwa mfano katika mtandao wa kijamii wa instagram  DC wana followers zaidi ya milioni 1 na MARVEL wana follower Milioni 2.7.                                                              

6.STORY LINES: stori nyingi za movie za  DC character anakuwa tayari kufanya juu chini ili akamilishe lile atakalo kwa mfano BAT MAN alafu pia characters wa DC wanakuwa watu ambao hawana sense of humour (vichekesho) kama BAT MAN na DARE DEVIL ni makauzu.Kwa upande wa MARVEL characters wengi wanafurahisha kwa mfano SPIDER MAN na IRON MAN.                                                                                                                         

     

No comments:

Powered by Blogger.