Breaking News
recent

HAPPY BIRTHDAY TOM HARDY.

Star wa movie ya MAD MAX-FURRY ROAD ametimiza miaka 38 leo.Star huyu amezaliwa nchini Uingereza mjini London.Ukitoa Movie Ya MAD MAX-FURRY ROAD ameigiza pia movie kama THIS MEANS WAR akiwa na Chris Pine pia alionejana katika movie ya Mtengenezaji maarufu Hollywood Christopher Nollan movie hiyo ni DARK KNIGHT RISES ndani ya movie hiyo star ni Christian Bale ambaye ndiye BATMAN aliyepita.                                 

No comments:

Powered by Blogger.