Justin Bieber amefunguka ukweli kuhusu nyimbo yake inayotamba kwa sasa (WHAT DO YOU MEAN?).Kulikua kuna tetesi kuwa nyimbo hiyo inamuhusu Selena Gomez kwa sababu hata katika video ya nyimbo hiyo kuna michoro inaaonyesha jina la Selena.Justin alikana tetesi hizo mbele ya mwanamama Ellen alipokuwa akimuhoji Justin Bieber katika kipindi cha THE ELLEN SHOW.Justin alisema kuwa nyimbo yake haimuhusu Selena bali inawahusu wasichana wote kwa ujumla kwa sababu wasichana hawaeleweki hajui wanataka nini mara wakubali mara wakatae yaani wanamchanganya' ndio maana akapata idea ya kuandika nyimbo hiyo.Pia Justin alipohojiwa kuhusu mtu anayemdate akasema hana ila yupo tayari kuingia kwenye mahusiano JB alimwambia Ellen "Am single and ready to mingle''.
No comments: