Breaking News
recent

KYLIE JENNER KUONEKANA KATIKA VIDEO YA JUSTIN BIEBER.

Baada ya kuwa "video vixen" katika nyimbo ya "stimulated" ya mpenzi wake Tyga, Kylie anaweza akaonekana katika video ya msanii Justun Bieber,Ofa iyo alipewa dada yake Kendall Jenner lakini hakuonyesha kuwa na interest nayo sana hivyo Kylie anaweza akachukua nafasi hiyo kuwepo katika video hiyo, na hata hivyo yeye na JB ni marafiki wa karibu hivyo itakuwa rahisi kukamilisha project hiyo. (Chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE.COM)

.

No comments:

Powered by Blogger.