kanye West na Kim Kardashian wapo kwenye mchakato wa kutafuta jina la mtoto wao wa pili wanayetarajia kumpata hivi karibuni.Kim alipenda mwanae aitwe South au Easton, lakini Kanye anapenda zaidi jina la Nazareth, na kama mtoto huyo akizaliwa sikukuu ya X-mass kama inavyotarajiwa,basi jina hilo litakuwa na maana zaidi. (Chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE.COM).
KIM NA KANYE KUMUITA MTOTO WAO JINA LA "NAZARETH"
Reviewed by
Unknown
on
00:01
Rating:
5
No comments: