Kuna series na movies nyingi sana zinazohusu binadamu wenye uwezo mkubwa kufikiri na akili.Kuna KYLE XY,SCORPION na THE MENTALIST na kwa upande wa movie kuna LUCY na nyingine nyingi.LIMITLESS ni series ambayo imetolewa tena baada ya movie yake kutoka mwaka 2011,
kwa mfano kwa sasa MINORITY REPORT ya Megan Good ilishawahi kuwa movie na ikachezwa na Tom Cruise.
LIMITLESS inamuhusu kijanaa anayeitwa Brian Finch ambaye baba yake yupo hoi anakaribia kufa kitandani lakini hapati tiba,Brian anawaza jinsi ya kumuokoa baba yake ndipo rafiki yake anampa kidonge kinachoiitwa NZT-48 kidonge hicho mtu akikimeza kinaongeza upeo wa kufikiri na Intelegent quality (IQ) inapanda kwa pointi 4 zaidi.Brian anapokunywa kidonge hicho anakumbuka kila kitu alichowahi kukiona,kukisikia au kukifanya,kila kitu anakumbuka kwa kina,baada ya kunywa kidonge hicho anapata ufumbuzi wa ugonjwa wa baba yake.Kidonge cha Nzt-48 kina side-effects,je ni side-effects gani hizo?
Na Brian atafanikiwa kumuokoa baba yake? Angalia series hii ujue.Zipo episode mbili tu ha
kitu bado brand new.
SERIES YA LIMITLESS.
Reviewed by Unknown
on
23:04
Rating: 5
No comments: