LIST YA MA DJ 5 WANAOLIPWA SANA DUNIANI
ni jambo la kufurahisha kwa nchi kama zinozoendelea kukuwa kiuchumi kudharau kazi lalini hiyo imeonyesha tofauti kabisa pale ambapo watu kama ma dj wanaodharaulika nchi kama tanzania kuwa mamilionea kwa kile tu wanachokifanya....
1.Calvin Harris $66 millions
Calvin Harris aliye zaliwa Adam Richard Wiles,anapata kipato cha dollar $66 million akipiga nyimbo
125 sehemu tofauti tofati duniani ambaye yeye anapendelea sana pop music na hata akipiga sana
mabeat ya EDM(electronic dance music) ambapo amesha chukua tuzo mtv na hata billboard
nafasi ya EDM

2.David Guetta $30 millions
Guetta au mstaafu mmliki wa club ya Parisian ameweza kupata kipato hicho akiwa katika tour na
Rihanna ambapo pia ameweza kumtengenezea wimbo Lady Gaga na Britney Spears katika albums
zao mpya

3.(TIE) Avicii $28 millions
Akiwa tu na miaka 24 kijana huyu wa Kisweden aliweza kuelekeza nguvu zake katika albumu yake
TRUE ambapo albumu hiyo ilihusisha wimbo "Wake Me Up," ambao umekuwa ni wimbo wa kwanza
wa EDM kuuza copy millioni 4 kwa marekani pekeake

4.(TIE) Tiesto $28 millions
Kwa miaka michache iliyo pita DJ huyu wa kidutch alibadili mtazamo wake kutoka Ibiza kwenda
Las Vegas ambapo sasa ana nyumba nzuri huko huku akiwa na clubu yake akifanya show zaidi ya 100
kwa mwaka mmoja

5.Steve Aoki $23 millions
kwa mara ya kwanza Aoki aliingizwa kwenye list baada ya kupiga show 277 kwa msimu kuna mda
hupiga show hata tatu kwa siku na ratiba yake imekuwa ngumu mara mbili ya mara ya kwanza Aoki
anasema amemasta sanaa ya kulala masaa mawili au matatu wakati akisafili kwenda kufanya show
ambapo pia ana mkataba na kampuni ya earphones kwa sababu hiyo ana earphones zake.

No comments: