Breaking News
recent

SPEECH NZURI NA ZENYE MAFUNZO KUTOKA KWENYE MOVIES

 

1.SPIDER MAN (speech ya uncle ben)              

Peter parker alikwazana na wake ben uncle ben kabla hajafa aliongea mengi kama wosia ila katika wosia wake nukuu hii "with great power comes great responsibility" ndio oliyosummarize  speech yake.        

 2.THE PURSUIT OF HAPPYNESS (speech ya will smith kwa mwanae) 

 will smith alikuws akicheza basketball na mwanae baadae mwanae akamwambia baba yake kuwa ana ndoto za kuwa mcheza basket wa kulipwa.will akamwambia mwanae aache ndoto za kijinga  akazane kusoma.will akagundua kuwa mwanae hakupendezwa ndipo akampa speech ya kumtia moyo.      

3.ROCKY BALBOA ( Speech Ya Rambo Kwa mwanae). 

Mwanae Rambo alikuwa akimlalamikia baba yake kuwa kaharibu maisha yake lakini Rambo akampa maneno ambayo ualimfanya ajitambue na kuona kuwa ilikuwa sio sahihi kumlaumu baba yake katika listi hii speech hii inaweza ikawa the best hebu itazame hiyo video yake hiyoyoute na utakubaliana na mimi.            

No comments:

Powered by Blogger.