Mwigizaji wa Hollywood Matt Damon aliyetamba na movie za BOURNE,amewaonya waigizaji mashoga (gays) na wale wasichan wanaofanya mapenzi ya jinsia moja (lesbians) kuwa wasipende kujitangaza ukweli kuhusu hali yao mbele ya jamii,Matt anasema ni heri kama mwigizaji ni Gay au Lesbian iwe siri yake kuiambia jamii inaweza ikapokea kwa mtazamo tofauti,Matt alisema kwa kufanya hivyo sio kwamba watakuwa wanajificha katika jamii lakini watakuea wanatunza heshima yao katika jamii. (Chanzo cha taarifa-HOLLYWOOD LIFE.COM).
MATT DAMON AWAONYA WAIGIZAJI MASHOGA.
Reviewed by
Unknown
on
05:21
Rating:
5
No comments: