Breaking News
recent

WANASAYANSI WATHIBITISHA UWEZEKANO WA MAISHA SAYARI YA MARS.

Watafiti wa shirika la mambo ya anga (NASA), wamethibitisha kuwa huenda kuna uwezekano wa watu kuishi katika sayari ya Mars.Watafiti wa anga wamesema hayo baada ya kukuta maji katika sayari hiyo,majo hayo hayajulikana mara moja yametoka wapi na utafiti unaendelea ingawa hadi sasa wanasayansi wanaendelea kufanya makisio kuhusu sayari hiyo na kuzidi kutafuta uthibitisho kama kweli binadamu anaweza akaishi kwa asilimia mia moja bila matatatizo yoyote .(chanzo cha habari-HOLLYWOOD LIFE.COM).

No comments:

Powered by Blogger.