Tukiwa tunasubiria kusherekea sikuu ya X-mass tarehe 25 December mwaka huu,hali itakuwa tofauti kwa upande wa Kim na Kanye wao watakuwa wanasherekea kumpata mtoto wao wa pili.Doctor wa Kim amethibitisha kuwa kuna uwezekano Kim akajifungua tarehe hiyo.Kanye na Kim wameshajipanga na wameanza manunuzi ya vifaa na toys za mtoto wao huyo. (Chanzo cha taarifa-HOLLYWOOD LIFE.COM).
MTOTO WA KIM NA KANYE KUZALIWA SIKUKUU YA X-MASS.
Reviewed by
Unknown
on
04:59
Rating:
5
No comments: