Rapper anayekimbiza nchini Marekani mwanadad Nick Minaj anatarajia kutoa series inatakayo kuwa inahusu maisha yake.Nick alisema kuwa series hiyo itahusu maisha yake tangu akiwa mdogo na itaonyesha jinsi alivyo-hustle hadi akaja kuwa Star.Series hiyo inatarajiwa lurushwa na kampuni ya America Broadcasting Company (ABC). (Chanzo cha taarifa-HOLLYWOOD LIFE.COM).
NICK MINAJ MBIONI KUACHIA SERIES INAYOHUSU MAISHA YAKE.
Reviewed by
Unknown
on
03:53
Rating:
5
No comments: